Kipindi Mazungumuzo kwa amani cha CAF ASBL : Nguvu za akina mama katika ujenzi wa amani na masikilizano (uchambuzi wa CT Gabriel Kavunga na Wamama wajenzi wa amani)
Comité rédaction Comité redaction Radio Elimu UOR, Nous suivre sur FM 95,0 Butembo et environs
1. juin 2024
Générale
0
Kipindi Mazungumuzo kwa amani kina peperushwa kunako Radio Elimu kila siku siku ya kwanza asubuhi tangu saa mbili na nusu yaani 8h30 mpaka saa tatu kamili yaani 9h00, tena siku ya pili, mangaribi tangu saa mbili na nusu yaani 20h30 mpaka saa tatu, yaani 21 h00, na kila siku ya tano, mangaribi tangu saa moja na nusu, yaani 19h30 mpaka saa mbili kamili, yaani 20h00.
Sikiliza kipindi hiki ambamo Mwalimu Chef de Travaux Gabriel KAVUNGA, mdadisi wa mambo ya Jenda ana fasiriya nguvu na bahati anazo mama kwa kujenga amani na masikilizano.