Kipindi Haojue : Usaidizi kwa faida ya mayatima walio Kyambogho na Rughenda kupitia Programu Haojue Charity
Comité rédaction Comité redaction Radio Elimu UOR, Nous suivre sur FM 95,0 Butembo et environs
2. avril 2024
Allgemein
0
Tarehe 24 mwezi wa tatu 2024, wafanyakazi wa Maison Haojue wali elekea pa Kyambogho-Maluvya na Rughenda ku wa pelekeya mayatima vyakula na vitu vingine vya ku wa saidia.
Usaidizi unao ambatana na programu Haojue Charity.
Sikiliza kipindi hiki na upate mafasiriyo zaidi.